Free

TZUK DIASPORA 1ST GENERAL MEETING

Event Information

Share this event

Date and Time

Location

Location

Northampton

UKUMBI -JAMEEAH SPENCER

STUDLAND ROAD

Northampton

NN2 6NE

United Kingdom

View Map

Friends Who Are Going
Event description

Description

MKUTANO MKUU WA KWANZA - KUANZISHWA KWA JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO UNITED KINGDOM OF GREAT BRITAIN AND NORTHERN IRELAND.*

Kamati ya Mpito TZUK, inawataarifu Watanzania wote na Jumuiya zote zilizoko kwenye nchi za United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland, kuwa mkutano mkuu wa kuanzisha Jumuiya na kuchagua viongozi, TZUK DIASPORA utafanyika *Jumamosi* tarehe *08/04/2017* katika jiji la Northampton kuanzia saa tano asubuhi na kufuatiwa na burudani, hadi saa kumi alfajiri siku inayofuata;

Single £10 and Couple £15 Contrbution kwa ajili ya mkutano na kujisajili kwenye Jumuiya. ( payment reference Meeting/Mkutano)

Malipo Kwa ajili ya kujiunga yafanyike kupitia akaunti ifuatayo;

A/C Name - TANZANIA DIASPORA IN THE UK

A/C No. 21906460

SORT CODE - 30 99 08

LLOYDS BANK

Kutakuwa na chakula safi na mahanjumati toka kwa Maalim Khamis na vinywaji vya aina mbalimbali vitakwepo siku nzima pamoja na nyama choma.

Mara baada ya uchaguzi kutakuwa na muziki wa nguvu toka kwa DJ Richie hadi majogoo!! 4pm.

Ukumbi - Jameeah Spencer,

Studland Rd, NN2 6NE

Northampton

Ahsanteni

KAMATI YA MAANDALIZI

TZUK DIASPORA

Share with friends

Date and Time

Location

Northampton

UKUMBI -JAMEEAH SPENCER

STUDLAND ROAD

Northampton

NN2 6NE

United Kingdom

View Map

Save This Event

Event Saved